Jumapili yenye furaha

Tunawasalimu kwa jina la Baba na mwokozi wa maisha yetu,wapendwa katika bwana tunayofurha kufika katika hekaru takatifu la bwana kwani ni kwa neema tyu ndipo twaweza yote,kila siku na kila saa msifu na kumuomba Mungu akulinde na kukuongoza ndipo utakapofurahia katika maisha yote.Amen

Comments

Popular posts from this blog

Lugha yetu asili yetu,ni lugha ya kiswahili

Okwi sihitaji kiatu cha Dhahabu taarifa zaidi na karuti blogu.

Siku za mwisho zimewadia wapendwa Karibuni tujifunze biblia