Siku za mwisho zimewadia wapendwa Karibuni tujifunze biblia

Halleluya  karibuni ndugu  Zangu  wapendwa  kwenye  ukrasa  wangu  ili  tujifunze  neno  La BWANA kutoka kwa ndugu. Lawrence odondi 

  1.  Kuna mambo  tunatakiwa  kuyafahamu  kwa siku  hizi  za mwisho 
  2. Hivyo basi  yatupasa  tujiandae  ili  tuweze  kushinda  vita  hii  ambayo  Kristo  alishaianza  lakini  tumaini  tumepewa tumaini  rejerea Maombolezo  2:19 ni kwa Maombi  tu  utapata  kushinda
  3. Lakini  Licha  ya hayo  yote  mtunga  zaburi  anatukumbusha  ni nini  Mimi  na wewe  tufanye  ili  tuyashinde  yote  zaburi 119:9-11 Kumbe basi  ukimkaribisha  Mungu  katika  maisha  yako  hatoweza  kushindwa  hata  iwe  vita  ya  namna  gani 
  4. Mpendwa  kwa siku  ya  Leo  tuishie  hapa  Mungu  na akubariki. Amen

Comments

Popular posts from this blog

Lugha yetu asili yetu,ni lugha ya kiswahili

Okwi sihitaji kiatu cha Dhahabu taarifa zaidi na karuti blogu.