Bucha yenye inzi yafaa kwa kununua nyama,usiogope okoa maisha ya watanzania
By karuti blogu
Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMALIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuza nnzi.
Mfamasia mmoja Capt. Kenneth mwanachama wa UPDF, alisema _"ni kweli. Hili ni suala la afya la kitaifa. Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kifanyika ikagundulika uwepo wa hiyo kemikali ya formalin katika damu ya mtoto."_
Pale formalin inapokua imeingia mwilini, unaenda moja Kwa moja kwenye ini na kuliharibu.
Tafadhali, unapokwenda buchani kununua nyama, ni salama zaidi Kununua nyama ktk bucha lenye nnzi. Tumia uwepo huo kama uthibitisho wa usalama wa nyama isoyokua na kemikali ya formalin. Kama nyama haina nzi, kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.
Tafadhali, kua mwangalifu, okoa maisha ya mwingine kama nilivyofanya kwako kwa kushea Kwa mtu wako wa Karibu.
Comments
Post a Comment